Alikiba-–-MEDIOCRE

LYRICS: Alikiba – MEDIOCRE (Prod by C Pady)

Alikiba – MEDIOCRE LYRICS. 

Alikiba MEDIOCRE Lyrics. 

Yeaaaaaah…..ooolalah …… como estas

You call me Kibaka, They Call me King Kiba.

Baba Keyaan, Toto la Mama Kiba,

Njaa mi nashiba, unaishi kwa kuniiga, And I’m Alright.

Ushamba mwiko kwa mtoto wa Kariakoo, sichezi na dada zangu, nacheza na dada ako, mixer mkong’oto.

We unauza siso, mi ndio bishooo.

Iga na ku-stop uone, huchuliziki hata tone.

Mi nafanya wimbo, we unafanya skendo, uonekaneee.

Bridge

Marekani Nishatimba, Ulaya yote nishatamba.

Tena Unatukana, unakuja unajigamba, unajiona mjanja unatamba sana, MEDIOCRE …..yeaaaah

Chorus

Mediocre, speed ya mediocre, mediocre yeaaaah.

Mediocre x6

Yeaaaaah yeeeiyeee, pluu mpaka chini -PIGO

Unataka U-King na Mafundo…. Mimi ndio BABA… King-dom…. Kingdom

Tena mnajishow, huyu Komandoo, stage mafundo, wachafu wa roho, waongeza zero, kwashungu NO, kwashungu NO, no no … my people… No no, como stas.

Yo I have been in the game for 18 years, I’m still around, still ON TOP. Gyaldem Sugar

Bridge

Marekani Nishatimba, Ulaya yote nishatamba.

Tena Unatukana, unakuja unajigamba, unajiona mjanja unatamba sana, MEDIOCRE …..yeaaaah